Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wewe jamaa pimbi Sana aisee [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Na ukinikuta bar kwenye match za simba navyokunywa alvaro hutoamini. [emoji23]
hahahahahahhah siku tuaangalie wote....[emoji2][emoji2][emoji2]ile game ya kigoma baada ya mukoko kula red nikaona nikiangalia kama sijalewa naweza kufa kwa presh....


nikapga k vant ndogo atleast nikaanza kuchukulia maisha kawaida[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nikaangalia nimerelax kabsa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utadhani unanisema Mimi siku hiyo nikigonga k vant ndogo tatu peke yangu Jambo ambalo sio kawaida yangu,baada tu ya red card nikaagiza kitimoto nusu na vant ikawa unashuka kinyama huku naangalia game [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ulienda kusoma dada. Si ulitumwa na Mbeya nzima? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala usisikitike.

Unapajua sehemu gani sasa wewe? Si ajabu hata msalato hujawahi fika. Hata wine za kupima za Dom hujawahi kunywa [emoji23] dah
wine za kupima umekikumbusha dom[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji2][emoji817]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu fulani katika jamii zetu pengine kwa status zao wanajificha Kula Tungi ila mimi nilisha sema Hapana Siku nikiwa Na Mood ntakunywa tu, Hio ni maisha yangu binafsi I haven't come there to impress community, Nina Rafiki yangu mmoja Ni KE Huwa anajificha kupiga vyombo based on her status Siku akiwa Na Kiu huja Geto asubuhi kabisa sana sana weekend Tunaagiza Vyombo vile Konki Ngumu Pamoja Na Nyasi till kesho yake. Kwangu Pamejificha sana
 
hamkulani??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
mzeee sio poa[emoji1][emoji1][emoji1]....et ile vant ilivyoisha ndio roho ikaaanza kuniuma....pombe sometimes ni ufala

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…