Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Yani unamshukuru Mungu kwa vingi ndaniya wakati huo... kakujaalia uwezo wa kununua na afya njema kias cha kuweza kunywa uufaidi uumbaji wake. Lazma feeling ziende mbinguni tu
Yaan na unaweka ahadi asubuh unaenda kutoa sadaka, zikiisha na wazo linayeyuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Starehe yangu ni mapambio.
Yaani tutakesha tunaimba.

Hapa koo linaniwasha kesho nataka nivamie kanisa lolote nikaserebuke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tualikane mpendwa, natafuta kampani ya kuniamasisha kwenda church, mwaka wa saba huu sasa sijui hata mlango unakalia upande gani.
 
Nna shemeji yangu mmoja hvi tukiwa tumetoka huwa ana tabia kama ni bia mnaenda sawa mkiagza zinakuja kama mlivyo so kama speed yako ndogo unajikuta mezani zimebaki bia zako tu wao wanaendlea na zao

Kampani ya walevi sio kabisa ngumu sana kukataa kunywa unless wawe na uhakika kwamba unaumwa na hosptal walikupelka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawawezi kunishawishi maana mimi sijawahi kunywa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawawezi kunishawishi maana mimi sijawahi kunywa.
Usiseme hivyo.

Me nimeanza kunywa kimasihara sana, Kwenye sherehe ndugu yangu mmoja alikuwa anawekewa savanna na bro kwenye chupa ya soda mimi ndio nilikuwa natumwa. Kuna muda akanambia onja, we kuonja tamu 😂 😂 baadae kichuo chuo nikawa sijifichi sana mpaka sasa mama anajua me nakunywa tu wine. Kumbeee
 
Kumbe unavichambua vinywaji kitaifa na kimataifa[emoji23][emoji23][emoji23]
Bi mkubwa anavyoniamini,siku akisikia nimekunywa yaani ataugua kwa mawazo.
 
Kumbe ni TBL
 
Unafikiri kushawishiwa ni kazi ww jitahd sana ukae nao mbali hao watu

Maana ukishatoka mara 2 mpka 3 kuna sehem itasema acha ujarbu na wao watasema kwan kitu gan embu onja tu kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nikikaa nao si naagiza tu soda au maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…