Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu mi sijawahi lewa last time 2012 Castle Lite.
Leo nimeshtua vijiglass kidogo vya St Anne. Aisee nimepata confidence sio kitoto.
Kwanza nimecheza sana, pili nimepiga story na strangers wengi ambao nikiwa sijalewa siwezi kabisa, hafu bado nipo fit ndio maana ata huu uzi nimeandika fresh tu.
Ila ubaya wa kulewa nasikia unaweza ukajiona upo fresh unafanya vitu sahihi kumbe Mungu wangu.