Ukilewa unakua na Confidence sio ya nchi hii

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu mi sijawahi lewa last time 2012 Castle Lite.

Leo nimeshtua vijiglass kidogo vya St Anne. Aisee nimepata confidence sio kitoto.

Kwanza nimecheza sana, pili nimepiga story na strangers wengi ambao nikiwa sijalewa siwezi kabisa, hafu bado nipo fit ndio maana ata huu uzi nimeandika fresh tu.

Ila ubaya wa kulewa nasikia unaweza ukajiona upo fresh unafanya vitu sahihi kumbe Mungu wangu.
 
Daah ngoja niku quote kabisa ili kesho usije ukafuta akili ikiwa njema.,Hahah

Enjoy the moment mkuu.
 
Reactions: BAK
Dah Ila aisee Bora wewe sio mlevi sisi mtaani kwetu vijana wote Sasa HV tuna tunakunywa balaa
 
Ndio maana kuna mtu alisema wanaotumia pombe huwa na furaha kuliko wasitumia pombe. Hajui kuwa huwa nivitu vya kuboost tu
 
St Anne ndo ile wine inakuwa kama nyeupe hivi?

Kama ndo hiyo unalewaje kirahisi hivyo?
 
Kuna video yako hapa ukiwa unadance ngoja nkutimie inbox.nimewaonyesha watoto wangu wamecheka sana aisee🤣🤣
 
Dah ....usichanganye... confidence na careless/uzembe ni vitu tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Pombe unaweza kudhani inakupa confidence kumbe inachofanya inakuondolea aibu na uoga kwa kuenda kuharibu kazi ya sehemu ya ubongo inayoitwa amygdala.

Sehemu hii ya ubongo ndo inahusika na wewe kutafsiri mazingira kwamba mmh mazingira haya sio mazuri siwezi kufanya jambo fulani,ukawa na hofu ya kufanya eidha kwa aibu ama kuogopa.

Ukilewa katika sehemu ya ubongo ambayo pombe inapunguza zile taarifa za mfano wa umeme kupita kwa ukamilifu basi ni hiyo sehemu.

Matokeo yake taarifa juu ya mazingira yanayokuzunguka inakuwa huzitafsiri kama ilivyo kawaida penye hofu huna hofu,penye aibu huna aibu utafanya tu.

Zipo sehemu nyingi za ubongo zinaathiriwa kama vile ile sehmu inayohusika na kufanya matendo ya kawaida mtu akilewa anafanya mambo slow slow.

Na sehemu nyinginezo.
 
Ahsante sana
 
Dah ....usichanganye... confidence na careless/uzembe ni vitu tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Aiseeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…