Ukimaliza dozi ya Cefadroxil unatakiwa kukaa muda gani ndipo uanze kunywa pombe

Ukimaliza dozi ya Cefadroxil unatakiwa kukaa muda gani ndipo uanze kunywa pombe

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Na Imani mko poa kuna rafiki yangu hapa katumia Antibiotic inaitwa Cefadroxil anasema kamaliza Dose mchana je inakaa kwenye mwili masaa mangapi ili aendee kunywa Pombe.

[emoji120]
 
Acha pombe kwanza mkuu, yaani umemaliza dozi leo leo unawaza pombe [emoji16][emoji16][emoji16].
 
.
20230826_204141.jpg
 
Kama ni dawa ya kunywa mara tatu kwa siku ahesabu masaa 8 baada ya kupiga vidonge vya mwisho, vidonge viwili kwa siku asubiri masaa 12, kidonge kimoja kwa siku asubiri masaa 24
 
Eti anasema "kuna rafiki yangu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marafiki na ndugu huwa wanabeba sana mizigo yetu. Yaani ukiona kisa kinaanza na " kuna ...... yangu" jua mhusika ni yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom