Ukimaliza kusoma nyuzi za Chit chat na MMU pitia Jamii Intelligence

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Baada yakuona malalamiko mengi nikaona bora nipite jukwaa la jamii intelligence nimelipenda maana limeniongezea ufahamu wa baadhi ya vitu.
 
ukianza na jukwaa la inteligence then ukaenda chit chat, bc material yote ya intelligence yanapotea.
 
Naona unalazimisha makaliobtafanye kazi ya kichwa...
 
Baada yakuona malalamiko mengi nikaona bora nipite jukwaa la jamii intelligence nimelipenda maana limeniongezea ufahamu wa baadhi ya vitu.
utadanganywa mno uko na vichwa maji wanaojifanya waelevu bora uingie jukwaa la machester united ukawatukane mashabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…