Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine.
Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa.
Kuna mdau ameacha kila kitu sebuleni tena mezani bila kufunika, ikumbukwe kuna watoto wa shule wanakwenda humo pia.