Kiukweli vijana wetu, tena walioko vyuo vikuu, ni shidaa, mimi huwa naikuta mara nyingi sana hii kitu, mtu anaondoka bila ku log out, Mpaka unajiuliza hawa wasomi watarajiwa wana shida gani??Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine.
Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa.
Kuna mdau ameacha kila kitu sebuleni tena mezani bila kufunika, ikumbukwe kuna watoto wa shule wanakwenda humo pia.
Nimeona mtumiaji mmoja alikuwa ana exchange picha za inner most practices za mambo wanayofanya na mpenzi wakeKiukweli vijana wetu, tena walioko vyuo vikuu, ni shidaa, mimi huwa naikuta mara nyingi sana hii kitu, mtu anaondoka bila ku log out, Mpaka unajiuliza hawa wasomi watarajiwa wana shida gani??
nina maana muda ukiisha internet inakata.Unamwambia akupe dakika chache uondoe vitu vyako mezani