Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Ukiona manyoya ujuwe kaliwaUkimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Duh we jamaa bhanaUkimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
anaongezewa mume mwingineNa anaechukua mume wa mtu je??? Equation yako inahang haijabalance vizuri
echeka kweli anaacha laana, kuna laana zingine hazifikiMkuu wamekuibia nini ???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asubuhi yote hii na malalamiko kama mwanamke haumpi dudu la maana lazma ataenda kwa mkunaji tuu tegemea hayo
Acha kutisha watu mkuu, mbona mi sijafa.Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO