Ukimchukua mke wa mtu wewe ni kifo

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
 
Mkuu wamekuibia nini ???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Asubuhi yote hii na malalamiko kama mwanamke haumpi dudu la maana lazma ataenda kwa mkunaji tuu tegemea hayo
 
Tunza mke wako vizuri.....ukishindwa lazima usaidiwe. Na kumtunza haiishii katika shopping tuu....
 
Na anaechukua mume wa mtu je??? Equation yako inahang haijabalance vizuri
 
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Ukiona manyoya ujuwe kaliwa
 
Tunza mke wako vizuri.....ukishindwa lazima usaidiwe. Na kumtunza haiishii katika shopping tuu....
Inakubidi kabla hujatenda jiulize ukitendewa wewe utajisikiaje.
Ukishapata jibu unafanya maamuzi utende ama usitende.
 
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Duh we jamaa bhana
 
Awe mwanamke au mwanaume woootee ni vifooo tuu!!!! Wamekosa adabu kabisaa
 
nim
Mkuu wamekuibia nini ???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Asubuhi yote hii na malalamiko kama mwanamke haumpi dudu la maana lazma ataenda kwa mkunaji tuu tegemea hayo
echeka kweli anaacha laana, kuna laana zingine hazifiki
teh teh
 
hivi vitu nimekuja kuona viko zamani sana enzi za mababu.Juzi kati hapa mama wa rafiki yangu amekuja kuonyeshwa baba yake alisi nilichoka kweli nikasema haya mambo yasikie tu. Yaanni mmama ana wajukuu ndo anapelekwa kwa baba yake ilihali aliyekuwa anadhani ni baba yake kumbe siyo.Wanawake mna siri sana
 
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Acha kutisha watu mkuu, mbona mi sijafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…