Anajua baby wangu.Kwahyo wewe unakubali kuwa sio wife material
Kwahyo hunitafuti?Aise siwezi kuna wanawake wengi sana kwa ratio inatakiwa iwe 1:4
We hufai kuwa mke nikutafute nigundue nnKwahyo hunitafuti?
Ugundue naniliuWe hufai kuwa mke nikutafute nigundue nn
Utamu wa papuchi? Au..Ugundue naniliu
Umefika mbali sana. Sipo hvoUtamu wa papuchi? Au..
Sasa we swali lako lilimaanisha ninUmefika mbali sana. Sipo hvo
Povu povu povuTumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.

Mimi ninavyo ona hiki kipimo cha theory tu kimekupima tayari Mbona povu jingi ili hali ni maandishi tu na bado vitendo ,Mwenye macho kaona na kupima wewe ni Wife material au la?Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Kweli watu wanaowa na wewe una Mme? Kwa ulipokaji hivyo wa kuandka na Je kwa audio ni zaidi ya 72GB mtaani hawalali siku hiyoLimekuchoma! Na ukitaka kujua nina mume na watoto watatu. Kaka yenu yuko very responsible. Ana provide vya kutosha haliilii kama ww
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] kwa hiyo wewe hutembelei ndugu wanaopikia kuni? kwenu Woote mna Gesi or electricityNimeshajibu. Na najitahidi kufundisha watoto wangu wakiume wawili nilionao kuwa mwanaume ni kujituma kufanya zaidi na ndio maana ya Misuli ya mikono iliyopo kwenye hiyo mikono yenu.
Mmezidi kulia lia acheni upumbavu. Fanya ni zaidi ya wanawake mtoe huduma zote muhimu ikiwa ni pamoja na Majiko ya gesi n.k
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME
KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE
MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU
AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE
YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE IKIFIKA SAA 12
KAMA ANAKAA GONGO LA MBOTO MPE NAULI 50O TU, KAMA AKIRUDI TENA KESHO MUOE KABISA HUYO
NI WIFE MATERIAL
Na Namba ako lazma aifute au akuweke blacklist na atasimulia kwa marafiki zake wote badae sanaMCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME