Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.

Acha hizo!!duuui hatari jaman....NINASKIA UVIVU KUFIKIRI n so i thk tupo wengi WAVIVU WA KUFIKIRI.
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Magulu dodoma kuna nini?Aliekushauri anaishi wapi? isije ikawa anaishi Dodoma....wewe una mke au mme?kama unae basi ana kazi..
Hivi kwenye kufumaniana kuna kulinda heshima????Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Magulu dodoma kuna nini?
Hivi kwenye kufumaniana kuna kulinda heshima????