Ukimfumania mwenzi wako "unakinukisha" kwa nani? Mwizi wako au mpenzi wako?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mimi sihangaiki na mwizi wangu maana huenda amedanganywa kwamba manzi yangu ipo singo, namuanzishia mpenzi wangu na kumfungashia virago kuanzia dakika hio

NB: Kama mwizi wangu ni mshkaji ua jamaa anayejua nina uhusiano na huyo manzi hapo patawaka moto kwa wote wawili.

We tuambie utapambana na nani kama ukifuania uhusiano wa nje wa mpenzi wako??

Uzi yatari

wale wazee wa kuwahi siti andaeni viti msome comments





 
Nakukadiria kama nakuweza nakupa kipigo ambacho hutokaa ukasahau maisha, kama sikuwezi nitafanya kila niwezalo kukutouππbea mkeo

Mke wangu siwezi muacha nampenda sana

NB; najua siwezi kusalitiwa uzeeni huku kwani ujanani sikusalitiwa.

Nimeizungumzia kama changamsha kijiwe cha kahawa tu
 
Hamna haja ya kuanzisha vurumai kwa yeyote.Kuchepuka ni uamuzi binafsi,kwa nini nianze kugombana na watu kwa maamuzi yao wenyewe?Ikiwezekana ni kutuliza jazba na maumivu na kutafuta mazingira tulivu ya kutafakari hilo kabla ya kuamua lolote.
 
we jamaa kama kumbukumbu zangu ziko sawa ulisha wahi pokonywa mke na ukawa unasema alipo enda pamemkubali kanenepa kama mbuyu.

ama nimechanganya mambo
 
we jamaa kama kumbukumbu zangu ziko sawa ulisha wahi pokonywa mke na ukawa unasema alipo enda pamemkubali kanenepa kama mbuyu.

ama nimechanganya mambo
Sio jambo la ajabu ndugu ndio sababu nikasema nakukadiria kama ninakuweza nakupa kipigo cha mbwa koko na kama sikuwezi bas nitafanya nini na naona kabisa sikuwezi sanasana nitakuachia uendelee naye tu

Hata hivyo nadhani umechanganya madesa sikumbuki kama nimewahi kunena hayo na kama ndivyo bas pengine ilikuwa ni chai ya mdalasini tu
 
ila mapenzi πŸ™Œ alafu wakuu kitendo cha mume kumruhusu mchepuko kupokea simu ya mke wake hii imekaaje?
Huyo ndio kakuchoka kabisaaaa hata usihangaike nae beba mizigo yako kaanze maisha mapya mbele
 
we jamaa kama kumbukumbu zangu ziko sawa ulisha wahi pokonywa mke na ukawa unasema alipo enda pamemkubali kanenepa kama mbuyu.

ama nimechanganya mambo
Kweli mkuu? 😎 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…