Kabisa mkuuHaya mambo fanya kuyasikia tu,
Mzee mzima kwa hiyo unataka kutuambia tusiwe tunaamini comments zako ??.Sio jambo la ajabu ndugu ndio sababu nikasema nakukadiria kama ninakuweza nakupa kipigo cha mbwa koko na kama sikuwezi bas nitafanya nini na naona kabisa sikuwezi sanasana nitakuachia uendelee naye tu
Hata hivyo nadhani umechanganya madesa sikumbuki kama nimewahi kunena hayo na kama ndivyo bas pengine ilikuwa ni chai ya mdalasini tu
Cha msingi ni kuomba mwenyezi Mungu kama hayajakukuta yasikukuteKabisa mkuu
Kwanini mkuu?Haya mambo fanya kuyasikia tu,
Biblia inasema mtu asimuache mkewe ila kwa dhambi ya UZINZIWala simgusi yeyote,ila nitampa begi na baadhi ya vitu kadhaa wakaanze maisha.
NB: Pamoja na kuwa mkristo,ila nikumfumania make wangu hakuna atayeweza kusuluhisha hilo kosa na siwezi kumrudia mwanamke huyo tena......
Kuna jamaa kule mtwara alikuwa maarufu kuwaingilia wanaume wenziwe pindi wakifumaniwa(alikuwa anakodiwa).Siku akapigiwa simu kwamba aende haraka mkewe analiwa. Huwezi amini jamaa alipofika alifikia kulia tu na alikuwa baunsa kwelikweli.Hakufanya lolote lileKwanini mkuu?
huyo fala ndo ajue maumivu yalivoKuna jamaa kule mtwara alikuwa maarufu kuwaingilia wanaume wenziwe pindi wakifumaniwa(alikuwa anakodiwa).Siku akapigiwa simu kwamba aende haraka mkewe analiwa. Huwezi amini jamaa alipofika alifikia kulia tu na alikuwa baunsa kwelikweli.Hakufanya lolote lile
Inaonekana mke ndio ali-injinia tukio zima ili kumkomoa mumewe kwa tabia chafu za kuwapanda wagoni wa wenzie.huyo fala ndo ajue maumivu yalivo
huyo mwamba aliyemchapi baunsa alijiamini nini au aliamua kumkomoa??