Ukimiliki gari ndo Umeshatoboa?

Ukimiliki gari ndo Umeshatoboa?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Kibongo ukimiliki gari tu hata kama ni passo basi inahesabika 'umeshatoboa'.

Hapo sasa ndugu, jamaa, marafiki na hata serikali wanaamini 'umeshatoboa'.

mtu akiwa na shida ya uongo/ukweli jina lako ndo linakuwa pale juu ukihesabika lazima utatoa msaada kwa sababu tayari wewe 'umeshatoboa'. Usipotoa
hapo ndo mwanzo wa kuchukiwa na kutafutiwa vibweka na kupewa majina yote mabayamabaya. wao wanaamini una ela ila hatutaki kutoa maana saivi una gari na ivyo 'umeshatoboa'.

Ukipaki kagari sehemu tu ya wazi utaona jamaa wa tarura na vizibao vyao vya njano haooo. nao wanataka chao eti kulipia parking hata kama ni sehemu ya wazi na haina hata iyo sehemu ya parking iliyoandaliwa.

Jamani kuwa na gari isiwe inshu mtuonee huruma, sisi hatuna tofauti na nyie bado tunajitafuta!

wenye passo mnisamehe nimewatolea mfano tu.
 
Umetoboa vipi wakati gari linakukula mafuta
 
Wanaoamini hivyo Ni wanawake wachache hasa Hawa waliotoka Familia masikini.
 
Wanaamini kama unaweza weka wese basi shida ndogo ndogo ushazivuka...
Wanawake wanababaika sana na magari, wasichojua sisi wenye magari ndo tunaongoza kwa ubahiri! Akija kushtuka tayari kashaliwa kimasihara [emoji16]
 
haahaa
 
Gari ni chombo cha usafiri tu kama miguu.
Tusiikuze sana.
 
Back
Top Bottom