Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

afrikakwetu

Member
Joined
Mar 29, 2016
Posts
85
Reaction score
43
Salam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.

Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
 
Mkuu hebu tupe njia ya kuepukana na hili tatizo..utajuaje kama ni bikra au sio bikra kabla ya kumuoa na kupenyeza?
 
Labda uchukukue wa chekechea.
Ila wakuoa utakayemkuta bikra, atakuwa ametoka sayari ya Jupiter.
Muamini tu, maana anaweza kufika kwako akatulia kabisa kama hajawahi kufanya toka utotoni.
 
Ukimtoa wewe bikra ndo hatokusaliti?

Uniwie radhi ila una fikra hasi sana boss..
 
Hivi we jamaa unaishi dunia ipi?huyo mwanamke bikra utampata wapi miaka hii,unawatakia watu kwenda jail kwa kutaka kutekeleza huu ushauri wako maana karne hii hasa bongo wenye bikra ni under 10 sometimes kwa kubahatisha!sasa ukamatwe na kibint umri huo umejifungia ndani unakitomasa hujaenda kula ugali keko?acha utani bwana ushauri wako huu hau-apply dunia hii kwa sasa.
 
Back
Top Bottom