afrikakwetu
Member
- Mar 29, 2016
- 85
- 43
Mkuu hebu tupe njia ya kuepukana na hili tatizo..utajuaje kama ni bikra au sio bikra kabla ya kumuoa na kupenyeza?Salam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.
Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Unamwamini wa kwako??Kwa hiyo unataka tusiamini wake zetu?
Karibu mkubwaJf imeingiliwa na watoto
Ndio.Unamwamini wa kwako??
Kuna uwezekano mkubwa wa kutosalitiwa ni 1/10.Ukimtoa wewe bikra ndo hatokusaliti?
Uniwie radhi ila una fikra hasi sana boss..