inategemea
mimi ukinipa mimba wala hutokaa unione tena kwanza nakukana kabisa
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.
sasa mpaka umempa mimba ulikuwa huna malengo nae au?
siyo lazima, watu wanaoana kufurahisha umati tu lakini ndani ya nyumba vurumai kwa kwenda mbele.
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.
- kwanza Mungu hapendi wazinzi
- Inaonyesha jinsi gani unafanya ngono isiyosalama na hadi unasababisha mimba
- Huwezi kulea Mimba, mimba hulelewa na wenye ndoa au wanaoishi pamoja kwa upendo, usidhani kutoa pesa ya matumizi ndio kelea mimba... it is beyond that border kijana
- Kama hujao ni vema ukamwoa ili pamoja mlee mimba. kama umeoa acha tabia mbaya na kafanye TOBA