Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ni wasiwasi tu. Tenda wema kwake bila kutaka kumfurahisha mke wako. Shida huja kwenye 'pretendance' (kufanya jambo ambalo halitoki moyoni/kuwa artificial/cosmetic). Ndoa zinazodumu hazina hayo maigizo - do your best kwa kila jambo kama mume (na yeye afanye the best kama mke) and the rest mwachie Mungu.
 
Sawa mkuu, endelea kuwatendea wema
 
Women are mysterious creatures.Kadri unavyodhani unawafahamu ndivyo usivyowafahamu.Wanawake ni wasiri alafu ni wabinafsi balaa.Ila udhaifu wao ni kwenye hisia(emotional feelings).The moment you capture their feelings unawageuza kama wanasesere.
 
Sawa mkuu, endelea kuwatendea wema.
Hivi ukiamua kuoa au kuishi unataka uishije, kwa kudanganya danganya au kwa kutenda wema? Kanuni ya maisha ni kuwa mtu mwema na sitaki kuiga tabia za watu wengine, ikiwemo ya mke wangu (kama ni mbaya) inibadilishe na mimi nianze kuwa mtu mbaya. Wanandoa - mume na mke - kila mmoja ana udhaifu wake. Baadhi ya wanandoa hukubaliana kubadilika na kuzifanyia kazi tofauti zao na huwa mfano kwa wengine. Wanandoa wengine kila mmoja anabaki kama alivyo (kumwona mwenzake tu ndiye mbaya na yeye ni mwema). Hawa hawana muda wa kukaa pamoja na kujadiliana wafanye nini, isipokuwa matatizo ya ndoa yao huyapeleka kwa watu wengine ambao hata hawawezi kuwasaidia. Mwisho wa siku wanandoa kama hawa hujikuta wameshaweka ufa mkubwa katika mahusiano yao (kati yao) kiasi kwamba hawana njia ya kuuondoa huo ufa, isipokuwa kuishi kijanja janja tu. Wanandoa wakishafikia hatua hii kila ushauri wataona haufanyi kazi. Binafsi nataka to do my best. The rest, namwachia Mungu na ikitokea tukafarakana sikati tamaa na wala silalamiki, maana nilichokifanya ndicho hicho nilichoweza au nilichotakiwa kufanya. Lakini sasa kama unaishi na mtu kwa kutenda mambo nusu nusu au kijanja janja, je mkifarakana utaona uliyoyofanya ndiyo uliyotakiwa kufanya?
 
Mbona gazeti mkuu
 
Naked truth.Naunga mkono hoja
 
Hapana mkuu nakuunga mkono 100%,
Mimi kuna she iliwahi niambia' unajua undercover wewe ni mpole sana hata kama yeye anafany vtu vyakishenz mimi nachukulia normal c act as man'. Hapo akili ilifunguka sem nilikuw mpuuzi sana.
Ukipewa sifa nzuri na mwanamke usivimbe kichwa, jitathmini kama kuna sehemu unakosea.
 
Mawazo ya wanaume wengi ni kwamba wake zao wanawakatalia sex. Baadhi yao wadhani yeye akitaka tu (mfano muda huu) na mke wake inabidi atake pia, la sivyo kutakuwa na vurugu. Mke wake akisema hajisikii, mume wake anadhani anachukuliwa na watu wengine. Someni 'psychology' ya watu mjue haya mambo yanaweza kufanyika muda gani na mnatakiwa muweje. Nina idea ya mambo haya kwa sababu huwa nafanya 'counselling' albeit informally. Baadhi ya watu wananishirikisha mambo yao na tatizo kubwa ni 'misunderstandings' katika ndoa: mume anataka na mke wake hayuko tayari muda huo. Wanaume wengine huwabaka wake zao kwa sababu ya kukosa subira au kutokuwa wastaarabu (bado ni primitive).
 
Bandiko limekaa kiupinde kisenge yaani..
Unamaanisha yaani wanaume tuwe tunaomba K kwa wanawake siku zile kabla ya wao kuingia period maana ndio wanakuwa kwenye joto haswa..
Halafu nikuulize swali ndugu mjuaji na mtetezi wa wanawake..
Vipi pale mwanzo wa penzi unakuta mwanamke ndio mhitaji mkubwa wa sex hasa akishakuelewa mjuba??
Yaani inakuwaga hakuna excuse mnaweza mkapiga show hata throughout the month mpaka atakapoingia period.
Hapo unataka kuniambia mwanamke huwa anatumia mechanism gani?
Oyaa blood umezingua kuleta issue petty kama hii kuipinga post ya mwamba..
Broo we unafanya counselling kuhusu mahusiano ya watu?
Mimi nina ushahidi wa kutosha kuwa wanawake huwabania K*ma wanaume most of the time kama unataka sema nimwage hapa namna ya kuwakamata wake zetu ikiwa wanapitia hizo changamoto au laa ni kwamba wameamua tu kuzingua..

Speaking and giving facts about what I have witnessed and faced more than once and some tricks I used to encounter these situations to different women..
 
No comment, ingawa umetumia lugha rahisi na iliyotulia ila ujumbe wako ni mkubwa sana, inabidi mtu akusome taratibuu sana ili kuweza kukuelewa, otherwise anaweza kufikiri ni kama jumbe nyingine tu na mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…