Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
UKIMPATA WA HIVI HUYO NI MALI SAFI
KAKA ANGU MWEMA, ukimpata mwanamke anayejimudu, aliyefanikiwa kimaisha au ana muonekano mzuri na asiwe mpumbavu wa huo uzuri wake au mafanikio yake hayo basi huyo ni MALI SAFI ndugu yangu usiipoteze kabisa
Mke mwema ni yule anayeweza kuvitawala vitu ambavyo amaejaliwa katika maisha huyo ni mali safi ukimpata mshike. Wengi vitu, pesa, umaarufu au connection za maisha huwafanya kuwa wapumbavu sana na wagalatia watupu
DADA ANGU MWEMA ukimpata mwanaume pamoja na umaarufu wake, muonekano wake, mafanikio ya kimaisha hayampu jeuri au kumtumikisha kwenye ujinga huyo ni mali usiaache. Mwanaume anayeweza kuvitawala vitu, cheo, mafanikio yasipoelekeshe kwenye hulka za kijinga ni wachache mno. Ukimpata muombee, mpende na mtii huyo ni mali safi