Ukimpenda Utamjali na Kumlinda



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsia ya KE akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda, atakuheshimu na ATAKUTII.

Huu mjadala ni mpana sana ila akili yangu ililenga hapo kwa ME kumpenda, kumjali na kumlinda KE.[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichunguza vizuri, kwenye hayo mahusiano yenu, mmeo anakupenda kuliko unavyompenda, mfano ikatokea mmeachana (siombei iwe hivyo) mmeo ana vingi vya kupoteza kuliko wewe Nifah
Mimi ndio nampenda zaidi, na mimi ndio nina vingi vya kupoteza kuliko yeye.

Yule mwanaume hakuna kama yeye kwa alivyo, nimewaona wengi yeye ni wa pekee sana.

Yeye mwanaume tu, mjini hapa hakosi wanawake.
Natamani angesema mwenyewe, Lol.
 
Jinsia ya KE akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda, atakuheshimu na ATAKUTII.

Huu mjadala ni mpana sana ila akili yangu ililenga hapo kwa ME kumpenda, kumjali na kumlinda KE.[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda sana kupendwa na kujaliwa.....yaani mtu wa namna hivyo unamtii pasi na shaka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ naomba nisamehewe

Nikisamehewa nakupa busu la kwenye paji la uso, ila Sio kama lile la Yuda kwa Yesu.
Hizi ni mbinu za kivita, na adui amenyaka Nguvu yetu. Sikia Najua Dec ni kesho tu unachotaka kuniomba Siina .. Kazi njema Mwl..
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Nami niseme nini tena juu ya haya...

Umemaliza yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…