Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

ni kweli mkuu at mimi nilikuwa naumia sana.

Kuona mtu nampigia mimi halafu tunamaliza tu kuongea yeye ndo anakata simu mapema kuliko mimi.

Lakini nilikuja ku realise kuwa ukuona mtu anakufanyia hivyo tambua wewe huna umuhimu kwake.

Kwa upande wangu nimeshazoea.

Hapo nazungumzia kwa ndugu,mpenzi

Ila maswala ya kazi ni swala la kawaida sanA.
 
Maana yake kuna mtu wa muhimu kuliko wewe amekuja au amepiga simu....kuwa mpole uendelee kusubiri utarejewa hivi punde
 
Back
Top Bottom