MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
She/he has no interest with your conversationChawa wa mama mkae mbali na huu uzi.
Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
Maana yake alikuwa bsy ila alipokea kwa sababu anakuheshimu na alikuwa anaomba maongezi yako yaishe aendelee na jambo lakeChawa wa mama mkae mbali na huu uzi.
Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
au nadanganya 😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
Unapungukiwa nini wakati maongezi mmeshamaliza?
Wana maana hiiHawa watu huwa wana maana gani?
Aah.........maybeShe/he has no interest with your conversation