Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi.

Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
Wanakujua sana, baada ya maongezi huwa unaanza kupiga mizinga balaa.
 
Kijana anataka control.Kapiga simu yeye kwa hiyo ni lazima yeye akate simu mazungumzo yanapofikia mwisho.
 
mmemaliza kuongea unajivuta kukata simu mtu anafanyaje ana minya kekundu tu

mie mara 2-3 nimefanya hivyo na wapigaji wakanirudia huku waki mindo umepiga wewe hadi ukate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…