Elections 2010 Ukimpigia dk silaa pigia na wabunge/madiwani wa chadema

Elections 2010 Ukimpigia dk silaa pigia na wabunge/madiwani wa chadema

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapendwa kwanza hongeren kwa imani na mwmako mliokuwa nao
nimeona ni vyema tusaidiane kwa hili kama tujuavyo silaa akiwa mwenyewe
atapata shida sana embu tujitahidi kama tunamipigia dk silaa rais wetu ntarajiwa basi
tuwapigie wabunge na madiwani wote wa chadema waweze kwenda kunsapoti
chonde chonde silaa pekee itageuka sumu tumpe wasaidiizi
Chadema oyeeee
 
Back
Top Bottom