Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wewe ni engineer wa nini?AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ndiyo maana tunaishia kuwapiga chini.AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nami nakipendaga sana. Manzi akinipikia hivyo, ntampa shughuli hajawahi pewaga.Wanaona wali samaki ndo chakula cha kijanja
Labda ndo anavotakaulitaka tuseme makande?
mimi ndo huwa jibu langu kwa kweli kama jumapili pilkau kuku wakati hapo nipo nakula tu makande au nimeshinda njaaMbona mimi sijawahi kutoa hilo jibu!!
Hahaaaa!! Eti pilau kuku wakati umeshindia makande. Ila maswali gani hayo ya kuulizana, eti unafanya nini? Khaaah!!mimi ndo huwa jibu langu kwa kweli kama jumapili pilkau kuku wakati hapo nipo nakula tu makande au nimeshinda njaa
Hahaaaaa!!!hivi wewe ni engineer wa nini?
mtu anakupigia simu usiku anauliza umelala? sasa ungeongeaje?Hahaaaa!! Eti pilau kuku wakati umeshindia makande. Ila maswali gani hayo ya kuulizana, eti unafanya nini? Khaaah!!