Ukimpigia simu msichana ukamuuliza swali hili lazima akujibu hivi.....

malezi na maisha baina yetu ni tofauti na hicho ndicho kisa, sijui mkewe au ndugu zake wa jinsia ya kike anawatendeaje.
Atawatembeleaje wakati anaona wanataga mayai na kutotoa kama kuku
 
Kuna maswali mengine ukimuliza msichana yakubidi ujipange kisaikolojia!

Unamuliza kapika nini? Tena mchana? Je akikujibu hajapika na anahamu ya chipsi au burger? What's next==>
 
Kuna maswali mengine ukimuliza msichana yakubidi ujipange kisaikolojia!

Unamuliza kapika nini? Tena mchana? Je akikujibu hajapika na anahamu ya chipsi au burger? What's next==>
Hujui kinachofatia?!!
 
Bora hao wanaosema hivyo kuliko wale ambao mkizoeana kwa muda mfupi hukuambia anaomba nauli ya kwenda arobaini ya bibi yake Lindi. Wanaudhi sana hawa viumbe ujue.
 
Ukwel wa kutudhalilisha? Ivi nami nkikutuc nkasema naongea ukwel utajisikiaje
 
jaribu leo kumpigia simu msichana mida ya mchana au jioni afu akwambie anapika ,ukimuuliza anapika nini atasema wali samaki ,sijui kwa nini wanapenda hilo jibu hata kama hapiki au anapika chakula tofauti atajibu hivyo tu
Hapan'shaka wakutana na wanawake wa aina fedenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…