Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Watu wanakata moto sana, inabidi kuwa karibu na muumba.Unataka kuacha uzinzi ?
Ukishaumiliki unamrudia muumba wako.Issue sio kumiliki,issue ni masharti ya kumiliki.
Sasa utajiri wako wa magari na na majumba yako unahis unaweza vipoteza? Lakini wewe Mtu wa Mungu Sana japo kukosea kupo.Watu wanakata moto sana, inabidi kuwa karibu na muumba.
Ili usipotee inabidi kuwa mtumwa wa shetaniSasa utajiri wako wa magari na na majumba yako unahis unaweza vipoteza ?
Na wapo wengi wanaodanganyikaThe devil is a liar. Period.
“Kwa maana imeandikwa, ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, nawe utamtumikia Yeye peke yake.’’’Jaribu na wewe uje kutuambia
Zab 24:1Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’
Sasa najiuliza, hawa wote wanaomiliki fahari za dunia, wameamua kumsujudia shetani, na shetani naye akawapa utajiri?
Je, shetani ana mamlaka gani ya kumiliki mali zote za dunia?
“Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’Zab 24:1
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Na wengi wamefanikiwa kwa kupitia njia za mauza uzaKufa masikini sio dhambi,ila dhambi Ni kufa tajiri huku utajiri wenyewe uliopata kea njia za KISHETANI
Utajiri wa dunia ni mali ya shetaniSHETANI anakupa utajiri.
1. Kutoa kafara
2. Kudhurumu.
3. KUUA.
4. Kupenda pesa kuliko kugawa kwa wahitaji na masikini,
Sheria ya utajili ni kuwa mchoyo na BAHILI, ya Mungu ni utoaji nankusaidiana.
5. WIZI.
6. Ufisadi na kuingia mikataba ya KITHENGE kama JMT. Kagoda, Richmond, epa nk.
Mambo ya shetani ni mengi mno.
Muda ni mchache.
Sayari zingine jeZab 24:1
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.