Ukimsujudia shetani atakupa utajiri?

2 kor 4:4.
Shetani ndiye mungu wa duniani.
YESU hagawi utajiri hapa duniani ingawa wahubiri wahuni na washenzi wanawadaa watu kuwa Mungu anatajirisha watu hapa duniani.
Mungu anabariki tu usiishi kwa kumkufuru maana umaskini ukizidi kufuru hufuata.
 
Watafute DP WORLD
 
Kwa hoja yako ina maana Mungu anapenda umasikini?

Nauliza tuu hata kama jibu ninalo kwenye maandiko..
 
Jibu lipo wazi, ukifanya utafiti wa kina utagundua "hakuna utajiri wa Mungu" ni maujanja tu ya kucheza rafu.
 
Asikudanganye MTU shetani hana utajiri yeye anaiba utajiri kwa watu hana kipawa cha kutoa baraka kwa watu, shetani na mawakala zake ni walaaniwa hastahili kusujudiwa hata kuabudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…