"Mungu" kachukuliwa na ibilisi?Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’
Sasa najiuliza, hawa wote wanaomiliki fahari za dunia, wameamua kumsujudia shetani, na shetani naye akawapa utajiri?
Je, shetani ana mamlaka gani ya kumiliki mali zote za dunia?
Huwezi kukuta ujinga kama huo kwenye Qur'an.Hadithi za Biblia na Quran ni za kusimulia watoto muda wa kulala mtu mzima anayeamini hizo hekaya apimwe akili
Quran ilisema jua linazama kwenye matope Sasa si ujinga mkubwa.. Na kusema mtume alitenda muujiza wa kupasua mwezi vipande viwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu dunia nzima waone tuu Saudia hiyo event [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi kukuta ujinga kama huo kwenye Qur'an.
Punguani wahed.
tatizo unaisoma Biblia kama gazeti. Kwenye kile kitabu wanaposema kuna majini/mashetan waislam unafahamu wakristu wanaelewa nini?"Mungu" kachukuliwa na ibilisi?
Aliyetunga hicho kisa ni mchekeshaji (comedian).
[emoji23][emoji23][emoji23]Quran ilisema jua linazama kwenye matope Sasa si ujinga mkubwa.. Na kusema mtume alitenda muujiza wa kupasua mwezi vipande viwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu dunia nzima waone tuu Saudia hiyo event [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ujinga, wao ndio wanaitawala, dunia kama agizo, LA, Mungu,Sio walimsujudia bali wanamtumikia...