Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…
Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.