kukwambia kuwa anaogopa mimba,si kwamba ukimwi hauogopi,anauogopa pia ila kukutamkia ni ngumu kidogo usije ukamuelewa vibaya.hata mimi ningekwambia naogopa mimba,kumbe na STD na STI naziogopa,hata tukipima condom muhimuHuko mbali dada,..
mwingine utakuta anakwambia
"speaker vaa condom".....
Unauliza kijinga jinga tu,..."kwanini?...unaogopa nini kwani?"
anajibu "Naogopa mimba",....yaani wengi wanaogopa mimba kuliko hata ukimwi,...
Ila honestly,nimegundua watu wengi wanakufa kwa uoga wa kupima tu,.....
Na wengine tuna ukimwi wa "mawazo" tu na unatuua hivi hivi,....kisa?uoga wa kupima
ikiwa mwenza sio mwaminifu kwako?
Mimi i trust no CONDOM now,ni fake fake fakero kabisaaaaa na
malengo ya utengenezaji wa condom ni kuua watu,....
Bora kuwa mwaminifu kwa Mungu na kwa mwenzi wako BAAAAASI
beba plastic bag mkuu..
sahau kila kitu lakini si Condom..
(maana hii ndo njia pekee inayomaliza)
Ni kuwa mwangalifu tu na kupima
kila mwaka...
<br />Ukiona kwani wanaweka barabarani?!Control yourself!!
kukwambia kuwa anaogopa mimba,si kwamba ukimwi hauogopi,anauogopa pia ila kukutamkia ni ngumu kidogo usije ukamuelewa vibaya.hata mimi ningekwambia naogopa mimba,kumbe na STD na STI naziogopa,hata tukipima condom muhimu
<br />kondomu ni nusu ya shari lakini shari kamili ni kuwa hili ni gonjwa la laana angalia viongozi wwetu walivyoathirika........................hakuna kujikinga ila tu kwa kumtii Muumba na kufuata amri zake bila ya kuchagua.............ukiwa ni mtu wwa dhuluma lazima likukabe roho yako mpaka ikutoke....................hata kama umevaa mpira..........................
Lizzy, suala hili ni zito na wengi wetu ni waongeaji wa majukwaani lakini tukienda vyumbani tunafanya ndivyo sivyo. Rais mstaafu Mwinyi aliwahi kusema bila kumung'unya kwamba 'gonjwa hili limekaa mahali pabaya'.
Upotofu huo...
Haya sex hawaachi..
Kwa mke / mume hawatulii
Walio single ndo hivyo tena..
Ushauri wako nini hapo?
Maana naona wataka kupinga condom ..
Kanusha hii kauli, vinginevyo haya ni matusi ya wazi. Uliwapima wewe hao maraisi? Na hata kama uliwapima wewe, nani kakupa haki ya kutangaza matokeo yao. Moderators mko wapi hali ya hewa inachafuliwa hapa namna hii?utashangaa nikikuuma sikio maraisi wetu wote wa nne tangia tupate uhuru ni wateja wa vvu................na wote ndiyo itawaua.......kifimbo alionyesha njia wengineo kumfuata...........hivi karibuni tu..............
ni kifo cha kudhalilishwa mtu mzima ndicho kinachofuata hakuna suluhu hapo.................................sikatai kondomu zinapunguza lakini ......siyo jawabu......................................haya ni magonjwa ya laana kwa hiyo maadui wa Muumba hawana namna ni kulikwaa tu hasa mafisadi wadogo kwa wakubwa....................dhambi maana yake ni kumkashifu Muumba na mshahara wake ni laana na mauti tu hakuna ujanja hapo.................tutaendelea kuzika wafu na wafu kuzikana kwa sababu ya laana tupu....hususani ya kudhulumiana
acha ngono zembe!!
utashangaa nikikuuma sikio maraisi wetu wote wa nne tangia tupate uhuru ni wateja wa vvu................na wote ndiyo itawaua.......kifimbo alionyesha njia wengineo kumfuata...........hivi karibuni tu..............
Lizzy, suala hili ni zito na wengi wetu ni waongeaji wa majukwaani lakini tukienda vyumbani tunafanya ndivyo sivyo. Rais mstaafu Mwinyi aliwahi kusema bila kumung'unya kwamba 'gonjwa hili limekaa mahali pabaya'.
Kanusha hii kauli, vinginevyo haya ni matusi ya wazi. Uliwapima wewe hao maraisi? Na hata kama uliwapima wewe, nani kakupa haki ya kutangaza matokeo yao. Moderators mko wapi hali ya hewa inachafuliwa hapa namna hii?
JF RULES umezisoma kwa umakini??mkuu riz-one kumbe upo jamvini?karibu sana mkuu
JF RULES umezisoma kwa umakini??