Ukimwi ni hatari japo kuwa ukiwai kutumia PEP, ndani ya masaa 72 baada ya tendo.

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
kichwa cha habari cha husika.

nimeamua kurudi tena, kila mwenye sikio na asikie, kila mwenye macho aende hospital akajionee mambo yanayo tokea kwa waathilika walivyo kosa matumaini na wanavyo teseka.

mimi huwa nawshangaa watu wanavyo tambiana hapa Jf kwa kuchapa mirupo, sijui mwanaume wa dar na mikoani, yaani ngono ngono kwa kifupi, ukipata maambukizi, wanakupeleka sehemu ya kuchukuwa dawa, pale utawaone wenzio wenye status kama yakwako, watu wa kila lika, kila aina na kila umri! binafsi nilitembea na binti mmoja hivi, kumbe yule binti alikuwa katika siku zake, nilivaa kondom, japo kuwa mimi naipenda sana afya yangu nikaona niende hospital amana, nikachukuwe dawa za kinga ya ukimwi endapo umeambukizwa jana, au juzi, iwe ndani ya masaha 72, procedure za kuchukuwa hiyo daya ni procedure zote za kuchukuwa ARV, Kuanzia foleni hadi vipimo! binafsi nimeamua niwai, ili kupunguza risk ya ukimwi, hata kama viliingia ila havikuwa detected na vipimo.

dawa za PEP, ni kwa ajiri ya mtu ambaye anahisi ameambukizwa virusi vya ukimwi mala tuu baada ya tendo, au pia amebakwa, au ametembea na mtu asiye sahihi na akutumia kinga, mtu akiwai ndani ya masaa 72 tangu tendo la ngono kufanyika, basi hata kama alisha athilika, akiwai virusi vinaangamizwa na PEP, na atakuwa ni NEGATIVE, lakini ukichelewa kumuona Docter, zaidi ya masaa 72, basi tena subiri kupima ujijuwe kama una ukimwi au huna!

ushauri, endapo mtu amebakwa, au umetembea na mtu kwa ajari au kondomu ikapasuka, basi nenda haraka hospital ukajisalimishe, na kisha acha ngono kabisa.

kwaiyo nyie JF members wajinga mnao anzisha nyuzi za kugegedana, nimeshuhudia kule hospital ukiwa ni member mpya wa kuchukuwa dawa, madaktari wa vipimo wanakwambia mlete ukuu, aje akae na wenzake yaani member mpya, upewe ushauri namna ya kunywa dawa na kuzingatia.

best wishes katika utalatibu uliyo jiwekea katika maisha yako, kila raheli.
 
Kuacha ngono kabisa HAIWEZEKANI vingunevyo uwe Hanisi, na kubakwa mwanamke mkubwa siku hizi ni kupenda tu wabakaji wengi wa siku hizi hawanaga nguvu za kiumeni atachovya one two kamaliza.

Ukimwi ni hatari tena hatari kubwa Mabeberu waharakishe kutafuta dawa😝😝
 
Ukitaka kujua ukimwi upo nenda hospital kwenye vile vitengo vyao.... Ukitaka kujua ukimwi unaua nenda kwenye ward za waathirika wa vvu
 
Nenda kagawe dawa hosp CTC ndo utaelewaa mkuu
 
kufa ni kufa tu haijalishi utakufaje
 
Ukitekwa na akili za mabeberu unaanza kupost vitu kama hivi kaa chini utafakari uo ugonjwa ulianzaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…