Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu mkono kwenye avatar umezuia nini?Angaza mnaitwa huku
Dudu magicMkuu huu mkono kwenye avatar umezuia nini?
KENZY upungufu wa kinga mwilini unaweza kusababishwa na magonjwa kama TB au chemotherapy kwa wagonjwa wa kansa. Mgonjwa wa TB anatibika na kansa bado ni 30/70 kwa chemotherapy kuua cells zote zilizoshamuliwa.
Mgonjwa huyu ataitwa ana immunal surpress lakini hana UKIMWI
haswaaaUKIMWI kwa tafsiri ya mtoa mada hapo ni upungufu wa kinga mwilini, na wewe umesema upungufu wa kinga mwilini unaweza kusababishwa na TB/cancer/chemo. Mwisho umehitimisha kwa kusema mgonjwa huyu atakua hana upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ila atakua na immuno suppress.
Immunosuppress ni kupungua kwa activation au efficacy ya immune system jama sikosei.
Je hilo swali lake la kusema kwamba mtu anaweza kuwa na upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) bila kuwa na HIV ndani yake ni sahihi au sio sahihi? Kwa majibu yako ni kwamba mtu anaweza kuwa na ukimwi bila HIV ndani yake au nimekuelewa vibaya