UKIMWI kwa tafsiri ya mtoa mada hapo ni upungufu wa kinga mwilini, na wewe umesema upungufu wa kinga mwilini unaweza kusababishwa na TB/cancer/chemo. Mwisho umehitimisha kwa kusema mgonjwa huyu atakua hana upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ila atakua na immuno suppress.
Immunosuppress ni kupungua kwa activation au efficacy ya immune system jama sikosei.
Je hilo swali lake la kusema kwamba mtu anaweza kuwa na upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) bila kuwa na HIV ndani yake ni sahihi au sio sahihi? Kwa majibu yako ni kwamba mtu anaweza kuwa na ukimwi bila HIV ndani yake au nimekuelewa vibaya