Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

Abubaro D

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
22
Reaction score
8
Mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha nne, kiukweli tangu nipo shule, kubadili wasichana (playboy) ilikuwa tabia yangu, sikujali ki2, na kwa kuwa nilikuwa mzuri darasani wasichana hawakuacha kujipendekeza, na mimi sikufanya hiyana, niliwala kisawasawa, mwaka jana wakati tunasubiria majibu ya necta, nikapata tetesi kuwa kuna demu m1 ambaye nilitembea naye eti ameukwaa ukimwi,lol kwa kweli nlichanganyikiwa sana sikuwa na amani hata kidogo, mawazo ya kila siku yakanifanya nikonde, mafua mara kwa mara, viungo kuuma nikahic labda ni malaria, nikaenda kupima malaria ,nikakuta sina malaria basi ndo nikazidi kuchanganyikiwa, hakuna kitu nilichokiogopa kama kwenda kupima ukimwi kwa kuwa nilijua m nshaathirika tayari, kuna siku wazo la ujasiri likanijia, nikaona kwanini nateseka hivi huku sina uhakika, basi nilifikiria sana mbaka nikapata wazo la kwenda kupima japo kwa shingo upande ,nilipofika kituo cha afya nilitetemeka sana ilibaki kidogo nigeuze lakini nikapiga moyo konde nikaingia ndani , baada ya vipimo cha ajabu nikaonekana sina VVU, nilipata furaha ya ajabu isiyoelezeka, ila doctor akanishauri nirud baada ya miezi mitatu ,naapa ninapoongea miez mi3 imepita na nimetoka kupima tena majibu ni yale yale sina VVU, nina furaha ya ajabu, na nimeapa uplayboy nimekoma, jamani ukimwi usikieni kwa watu, 2 ..,pia nimejifunza jambo kuwa mawazo yanaweza yakaumba kitu wakati nahic nina vvu, mwili nao ukanipa support kwa homa za kwa mara lol, hofu inaua, JAMANI TUBADILIKE UKIMWI NI NOMA.
 
yaani vijana wa siku hizi jamani o level mmeshaanza mambo ya sex? hivi mnapata orgasm kabisaa?
duh
 
c umeshaona ukimwi hakuna andelea kupiga show live tu haina noma wala nini mwanangu.
 
wewe wacha danganya watu....ukigegeda wanawake tofauti kuna less chance yakupata ngoma kuliko ukiwa na partner mmoja provided hao wengi unatomia ndom.
 
Mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha nne, kiukweli tangu nipo shule, kubadili wasichana (playboy) ilikuwa tabia yangu, sikujali ki2, na kwa kuwa nilikuwa mzuri darasani wasichana hawakuacha kujipendekeza, na mimi sikufanya hiyana, niliwala kisawasawa, mwaka jana wakati tunasubiria majibu ya necta, nikapata tetesi kuwa kuna demu m1 ambaye nilitembea naye eti ameukwaa ukimwi,lol kwa kweli nlichanganyikiwa sana sikuwa na amani hata kidogo, mawazo ya kila siku yakanifanya nikonde, mafua mara kwa mara, viungo kuuma nikahic labda ni malaria, nikaenda kupima malaria ,nikakuta sina malaria basi ndo nikazidi kuchanganyikiwa, hakuna kitu nilichokiogopa kama kwenda kupima ukimwi kwa kuwa nilijua m nshaathirika tayari, kuna siku wazo la ujasiri likanijia, nikaona kwanini nateseka hivi huku sina uhakika, basi nilifikiria sana mbaka nikapata wazo la kwenda kupima japo kwa shingo upande ,nilipofika kituo cha afya nilitetemeka sana ilibaki kidogo nigeuze lakini nikapiga moyo konde nikaingia ndani , baada ya vipimo cha ajabu nikaonekana sina VVU, nilipata furaha ya ajabu isiyoelezeka, ila doctor akanishauri nirud baada ya miezi mitatu ,naapa ninapoongea miez mi3 imepita na nimetoka kupima tena majibu ni yale yale sina VVU, nina furaha ya ajabu, na nimeapa uplayboy nimekoma, jamani ukimwi usikieni kwa watu, 2 ..,pia nimejifunza jambo kuwa mawazo yanaweza yakaumba kitu wakati nahic nina vvu, mwili nao ukanipa support kwa homa za kwa mara lol, hofu inaua, JAMANI TUBADILIKE UKIMWI NI NOMA.

habari yako ni simple logic na fupi ,pia inatoa elimu mzuri na kuhamasisha kuhusu ukimwi
 
mshukuru mungu umepata second chance.kuna wengine chance hiyo haipo,wanasema ningejua.na wanajuta.kwa hiyo kijana tulizana,maana ume experience,huo ugonjwa bila ya kuwa nao,kwa hiyo unaelewa hali halisi kwa yoyote aliekuwa nao
 
Dah ni kweli kabisa uyasemayo mkuu, shukrani kwa ushauri wa bure.
 
Back
Top Bottom