UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

Sasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.

Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Amin
 
chance ni ndogo kwa kunyonywa mb.. labda kama alikuwa na vidonda mdomoni na wewe una michubuko kwenye mashine hapo hukwepi
Sikuwa na michubuko ila nina hofu virusi haviwezi kupenya kwenye tundu ya mkojo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ukiwa muoga sana nayo haipendezi. Just play safe
Kaka we acha tu sikia kwa mwenzio tatizo nikifikiria kula mavidnge kila day ndo nachoka halafu jana dr aliniambia zile dawa ni kali sana zinaleta ndoto mbaya na maruweruwe na ndo maana hushauriwa kula usiku na usipojizibiti unaweza kujiua
 
We ulijuaje ana ngoma tuanzie hapo kwanza
Ameniambia mwenyewe siku aliykuja tena na vidonge amenionesha na ameniambia nafsi imemsuta ameona bora aniambie kwa kuwa hatujafanya mapenzi but nikifikiria amewahi kunyonya uume wangu ndo hofu imeanzia hapo sikuwahi kupima ukimwi katika maisha yangu hata siku 1 ila baada ya tukio hilo nimepima zaidi ya mara kumi
 
Mkuu Rest In Peace,
Ila huko kupima pima na kumjaribu aliyee juu utakuja kupata unachokitafuta,
You will be neither the first nor the last one to get it. Just enjoy your life
 
Mkuu Rest In Peace,
Ila huko kupima pima na kumjaribu aliyee juu utakuja kupata unachokitafuta,
You will be neither the first nor the last one to get it. Just enjoy your life
Amin
 
Mkuu mbona huelewi tumekwambia uko salama umeamua kuleta uzi na huku we unazingua

Nakupa ushauri wa mwisho
Kwanza virusi havikai kwenye mate..na ili mate yaambukize yanahitajika lita 5 afu umesema huna mchubuko unapata vipi..?na umeshasema uyo manzi anatumia dawa na yeye mwenyewe amekwambia kuwa ana virusi kabla hujamuingilia sasa wasiwasi wa nini na hata oral sex mliofanya bado kuna aslimia kubwa uko safe..

Maji maji ya hatari ni mbegu za kiume na za kike,damu,maziwa na uchafu wowote unaotoka ukeni ila mate,jasho na machozi virusi hawawezi kuishi

Note;kama ulimnyonya uke wake hapo ni hatari au kama uliingiza vidole ukeni wakati una michubuko basi pole ila kwa tukio hilo nakuhakikishia uko salama utakuja kuniambia mimi nimeona watu wanafanya kabisa na hawapati
 
Nimeshapima mara nyingi Sina lakini bado nikipata dude nasaau
 
Sawa kaka nimekuelewa
 
Usiombe upatwa na hali hiyo.
Kuna kipind dem wangu alikuwa anaumwa umwa mara kwa mara sasa nikamtania kwamba ana HIV nini?

Jibu lake akaniambia "kwani we hujui kama mimi ni mgonjwa muda mrefu".. daah nikajua Utani wake tu.

Acha anikomalie nikapime nijue ukweli sababu alisema aliogopa kuniambia na hasingeweza.. ila kwa kuwa ameshanipata nani muda mrefu niko nae Haina haja akiniambia ukweli..

Ili nikome kufatilia NISIOWAJUA. Tena ananimbia eti "KWA HIYO KAMA NI KWELI AMEATHIRIKA HATA NIKIMUACHA SITASAIDIA CHOCHOTE" [Ujue akili ilipooza kabisa nikabaki namsikiliza yeye tu sababu yalikuwa Mawasiliano ya kwenye simu.

Ilikuwa usiku ila sikupata usingizi kwa kweli.. Palivyokucha akanipigia akaniambia mimi MUOGA sana ETI alikuwa anitania tu'..sikumwamini kabisa.. Kwa muda huo nilikuwa na homa hivyo nikajua HIV Imenipata..

Nilitamani ninywe DAWA ZOTE nilizokuwa nazo kwa mkupuo lkn Moyo ukagoma.. Nililia km mtoto hadi akaanza kunibembeleza.
Kama mwezi+ kupita nikapima NIKAKUTA FRESH..

Ni nomaa sana jamaa.
 
We acha tu kaka omba isikukute mimi nimenyonywa tu uume lakini amani sina je, aliyefanya kabisa anakuaje?
 
But nina matumaini kidgo baada ya kuambiwa mate haya ambukizi na mdau 1 hapo juu
 
Sasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.

Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Mbona sijaona mahala kamla hawezi pata ngoma kwa kunyonywa tu
 
Mola akubariki!
Wasio kusikia achana nao maana wataicheza ngoma yao wenyewe soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…