Naapa kwa M/Mungu sijafanya nae zaidi ya hiko nilichsema na kama ningekuwa nimefanya nae nisingekuja hapaSaikolojia yako inatia shaka,waweza kukuta ulipiga mzigo ,ila hapa unatafuta ushauri tu kijanja,Sawa.
Yaani nimecheka kwa sauti kubwa mpaka abiria kwenye daladala wanashangaa. Jamii forums raha sana. Yaani hapo hujagonga demu, lakini unaogopa kufa? Kapumzike kwa amaniA/alyekum na Bwana Yesu asifiwe
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa. Naombeni mniombee sina raha kabisa
Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo. UKIMWI upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso. Je, mwenye kuupata anajisikiaje?
Ndugu yangu Mungu atunusuruPole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
Kipi hiko naambie kinapatikana wapi ili nipime roho yangu itulieKwa vipimo vya sahivi ni ndani ya mwezi mmoja uwezekano wa kuona kama tayar ni asilimia 95%
Kipi hiko naambie kinapatikana wapi ili nipime roho yangu itulie
Ni vyote bioline ndio vinatumika sahivi na ndio mana ukipima shv unaandikiwa urudi baada ya mwezi mmoja na ndio utakuwa umetumia ivyo ni cha rangi nyeupe...kama mwezi mmoja umeshapita hapo jua kuwa hauna
Sawa kaka nimekupata atleast naanz kupata matumainiNi vyote bioline ndio vinatumika sahivi na ndio mana ukipima shv unaandikiwa urudi baada ya mwezi mmoja na ndio utakuwa umetumia ivyo ni cha rangi nyeupe...kama mwezi mmoja umeshapita hapo jua kuwa hauna
But uko salama maana kirusi hakiwezi kukaa kwenye hewa zaidi ya dakika 3Pole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
Sawa kaka nimekupata atleast naanz kupata matumaini
[emoji106]Pamoja sn
Kinachokuchekesha Mkuu?Yaani nimecheka kwa sauti kubwa mpaka abiria kwenye daladala wanashangaa. Jamii forums raha sana. Yaani hapo hujagonga demu, lakini unaogopa kufa? Kapumzike kwa amani
Kwa kinywa chake ametamka na amenionyesha na vithibitishoHabar za yeye kuwa ameadhirika umezipa wapi?acha kuishi kwa mazoea yuko powaa kabsa nakama amekuambia mwenyewe na ameaza kunywa dawaa haina shida kabsaa hata kma mlishirki tendo usiogope
Unazungumza hivyo kwa kuwa alijakufikaHiv dunia ya sasa kuna watu bdo wanaogopa ukimwi? ndo nakusikia wewee, kuna mtoto wa boss wangu alizaliwa na ngwengwe mwaka 1990, mpaka leo yupo ana duka lake, nyumba na kila siku anaendelea kugegeda
Ukimwi ni hofu yko tu.Hiv dunia ya sasa kuna watu bdo wanaogopa ukimwi? ndo nakusikia wewee, kuna mtoto wa boss wangu alizaliwa na ngwengwe mwaka 1990, mpaka leo yupo ana duka lake, nyumba na kila siku anaendelea kugegeda