UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

mkuu wewe ume piigwa blow job una shtuka wenzako wamekula kama miezi zaidi ya 8 na mtu mwenye ngoma ila hajapata hata na walikuwa wanaenda kavu kavu. we kausha
 
Pole sana
Possibly uko safe Ila umetenda dhambi mrudie muumba wako na omba
maghufira sana

Allah anasamehe ila usiendelee na machafu tena
 
Pia kufa Usiogope ila iandae safari yako fanya tawba Kwa Allah na kama muislam anza kutenda mema daima
 
Sasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.

Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Mkuuuuu nimechkaaaaaaa snaaaaa mkuuuuu
Lkn kwelii asee
 
Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…