kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Nenda kapime uko okay kahakiki tu kujiridhishaPole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV.
Nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana