- Thread starter
- #21
AminSasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.
Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminSasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.
Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Sikuwa na michubuko ila nina hofu virusi haviwezi kupenya kwenye tundu ya mkojochance ni ndogo kwa kunyonywa mb.. labda kama alikuwa na vidonda mdomoni na wewe una michubuko kwenye mashine hapo hukwepi
Kaka we acha tu sikia kwa mwenzio tatizo nikifikiria kula mavidnge kila day ndo nachoka halafu jana dr aliniambia zile dawa ni kali sana zinaleta ndoto mbaya na maruweruwe na ndo maana hushauriwa kula usiku na usipojizibiti unaweza kujiua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ukiwa muoga sana nayo haipendezi. Just play safe
Ameniambia mwenyewe siku aliykuja tena na vidonge amenionesha na ameniambia nafsi imemsuta ameona bora aniambie kwa kuwa hatujafanya mapenzi but nikifikiria amewahi kunyonya uume wangu ndo hofu imeanzia hapo sikuwahi kupima ukimwi katika maisha yangu hata siku 1 ila baada ya tukio hilo nimepima zaidi ya mara kumiWe ulijuaje ana ngoma tuanzie hapo kwanza
AminMkuu Rest In Peace,
Ila huko kupima pima na kumjaribu aliyee juu utakuja kupata unachokitafuta,
You will be neither the first nor the last one to get it. Just enjoy your life
Mkuu mbona huelewi tumekwambia uko salama umeamua kuleta uzi na huku we unazinguaA/alyekum na Bwana yesu asifiwe...ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..mwenzenu nilikua nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shuguli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa..naombeni mniombee sina raha kabisa
Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo ukimwi upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso je,mwenyekuapata anajisikiaje?
Kaka tuliaNimeshapima mara nyingi Sina lakini bado nikipata dude nasaau
Sawa kaka nimekuelewaMkuu mbona huelewi tumekwambia uko salama umeamua kuleta uzi na huku we unazingua
Nakupa ushauri wa mwisho
Kwanza virusi havikai kwenye mate..na ili mate yaambukize yanahitajika lita 5 afu umesema huna mchubuko unapata vipi..?na umeshasema uyo manzi anatumia dawa na yeye mwenyewe amekwambia kuwa ana virusi kabla hujamuingilia sasa wasiwasi wa nini na hata oral sex mliofanya bado kuna aslimia kubwa uko safe..
Maji maji ya hatari ni mbegu za kiume na za kike,damu,maziwa na uchafu wowote unaotoka ukeni ila mate,jasho na machozi virusi hawawezi kuishi
Note;kama ulimnyonya uke wake hapo ni hatari au kama uliingiza vidole ukeni wakati una michubuko basi pole ila kwa tukio hilo nakuhakikishia uko salama utakuja kuniambia mimi nimeona watu wanafanya kabisa na hawapati
We acha tu kaka omba isikukute mimi nimenyonywa tu uume lakini amani sina je, aliyefanya kabisa anakuaje?Usiombe upatwa na hali hiyo.
Kuna kipind dem wangu alikuwa anaumwa umwa mara kwa mara sasa nikamtania kwamba ana HIV nini?
Jibu lake akaniambia "kwani we hujui kama mimi ni mgonjwa muda mrefu".. daah nikajua Utani wake tu.
Acha anikomalie nikapime nijue ukweli sababu alisema aliogopa kuniambia na hasingeweza.. ila kwa kuwa ameshanipata nani muda mrefu niko nae Haina haja akiniambia ukweli.. Ili nikome kufatilia NISIOWAJUA. Tena ananimbia eti "KWA HIYO KAMA NI KWELI AMEATHIRIKA HATA NIKIMUACHA SITASAIDIA CHOCHOTE" [Ujue akili ilipooza kabisa nikabaki namsikiliza yeye tu sababu yalikuwa Mawasiliano ya kwenye cm.
Ilikuwa usiku ila sikupata usingizi kwa kweli.. Palivyokucha akanipigia akaniambia mimi MUOGA sana ETI alikuwa anitania tu'..sikumwamini kabisa.. Kwa muda huo nilikuwa na homa hivyo nikajua HIV Imenipata.. Nilitamani ninywe DAWA ZOTE nilizokuwa nazo kwa mkupuo lkn Moyo ukagoma.. Nililia km mtoto hadi akaanza kunibembeleza.
Kama mwezi+ kupita nikapima NIKAKUTA FRESH..
Ni nomaa sana jamaa.
Yeye mwenyewe ameniambia na vyeti na dawa kanionesha japo ananisisitizia hajaniambukiza kwa kuwa hatukufanya ila ameshanyonya uume wangu hapo tayari ni hatariUmejuaje anangoma?? Au umeambiwa
Mbona sijaona mahala kamla hawezi pata ngoma kwa kunyonywa tuSasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.
Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
AminMola akubariki!
Wasio kusikia achana nao maana wataicheza ngoma yao wenyewe soon!