UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

We acha tu kaka omba isikukute mimi nimenyonywa tu uume lakini amani sina je, aliyefanya kabisa anakuaje?
Kwenye nyakati km hzo ukiwa na roho ndogo.. unaweza kujiandalia video ya PARAPANDA ITALIA PARAPANDA!!
 
Kwenye nyakati km hzo ukiwa na roho ndogo.. unaweza kujiandalia video ya PARAPANDA ITALIA PARAPANDA!!
Hahaha mkuu ngoja nione itakuaje but natamani siku ziende ili nijue ukweli nimechka kuishi hivi
 
Vipimo vya bioline vinadetect maambukizi baada ya siku 21, kama umepima siku ya 25 basi kwa kiasi flan upo safe kuwa na amani.

Next time usianzishe mahusiano bila kupima, usiangalie furaha yako peke yako kuna watu wanategemea uwepo wako, wazazi na ndugu zako ikitokea leo hii umeondoka fikiria maumivu utakayowasababishia kwa uzembe wako.

Nenda kapime baada ya miezi 3 ila naamini utakua salama, kuwa na amani.
 
Usiombe upatwa na hali hiyo.
Kuna kipind dem wangu alikuwa anaumwa umwa mara kwa mara sasa nikamtania kwamba ana HIV nini?
Jibu lake akaniambia "kwani we hujui kama mimi ni mgonjwa muda mrefu".. daah nikajua Utani wake tu.
Acha anikomalie nikapime nijue ukweli sababu alisema aliogopa kuniambia na hasingeweza.. ila kwa kuwa ameshanipata nani muda mrefu niko nae Haina haja akiniambia ukweli.. Ili nikome kufatilia NISIOWAJUA. Tena ananimbia eti "KWA HIYO KAMA NI KWELI AMEATHIRIKA HATA NIKIMUACHA SITASAIDIA CHOCHOTE" [Ujue akili ilipooza kabisa nikabaki namsikiliza yeye tu sababu yalikuwa Mawasiliano ya kwenye cm.
Ilikuwa usiku ila sikupata usingizi kwa kweli.. Palivyokucha akanipigia akaniambia mimi MUOGA sana ETI alikuwa anitania tu'..sikumwamini kabisa.. Kwa muda huo nilikuwa na homa hivyo nikajua HIV Imenipata.. Nilitamani ninywe DAWA ZOTE nilizokuwa nazo kwa mkupuo lkn Moyo ukagoma.. Nililia km mtoto hadi akaanza kunibembeleza.
Kama mwezi+ kupita nikapima NIKAKUTA FRESH..

Ni nomaa sana jamaa.
Ukaendelea Naye?
 
Vipimo vya bioline vinadetect maambukizi baada ya siku 21, kama umepima siku ya 25 basi kwa kiasi flan upo safe kuwa na amani.

Next time usianzishe mahusiano bila kupima, usiangalie furaha yako peke yako kuna watu wanategemea uwepo wako, wazazi na ndugu zako ikitokea leo hii umeondoka fikiria maumivu utakayowasababishia kwa uzembe wako.

Nenda kapime baada ya miezi 3 ila naamini utakua salama, kuwa na amani.
Kwamba kila uhusiano unatakiwa upime Kwanzaa?
 
Vipimo vya bioline vinadetect maambukizi baada ya siku 21, kama umepima siku ya 25 basi kwa kiasi flan upo safe kuwa na amani.

Next time usianzishe mahusiano bila kupima, usiangalie furaha yako peke yako kuna watu wanategemea uwepo wako, wazazi na ndugu zako ikitokea leo hii umeondoka fikiria maumivu utakayowasababishia kwa uzembe wako.

Nenda kapime baada ya miezi 3 ila naamini utakua salama, kuwa na amani.
Umezungumza mpaka nimelia kwa uchungu nakushukuru sana...umenifunza kitu nisiwe mbinafsi katika maisha yangu kamwe naahidi kubadilika na nitakuwa na mungu mpaka kufa
 
Sasa huku kama fanya nae mapenzi un aogopa nini?
 
A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa. Naombeni mniombee sina raha kabisa

Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo. UKIMWI upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso. Je, mwenye kuupata anajisikiaje?
"A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe" LoL... hii salamu ime sum up kila kitu. Nenda ukapime confirmatory test pale Lancent lab.
 
"A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe" LoL... hii salamu ime sum up kila kitu. Nenda ukapime confirmatory test pale Lancent lab.
Wapi nielekeze na hiko kipimo kipoje na kina gharimu kiasi gani?
 
Umezungumza mpaka nimelia kwa uchungu nakushukuru sana...umenifunza kitu nisiwe mbinafsi katika maisha yangu kamwe naahidi kubadilika na nitakuwa na mungu mpaka kufa
Kuwa na amani kabisa upo salama.
 
Duuuuu aiseee ww kitachaokuua ni huyo wasi wasi wako...

Chukulia poa maisha yenyewe mafupi haya don't care brother na wala usiende kupima kwa moyo wako huo ulivyo mdogo tutakupoteza soon
 
Back
Top Bottom