UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

Saikolojia yako inatia shaka,waweza kukuta ulipiga mzigo ,ila hapa unatafuta ushauri tu kijanja,Sawa.
Naapa kwa M/Mungu sijafanya nae zaidi ya hiko nilichsema na kama ningekuwa nimefanya nae nisingekuja hapa
 
A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa. Naombeni mniombee sina raha kabisa

Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo. UKIMWI upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso. Je, mwenye kuupata anajisikiaje?
Yaani nimecheka kwa sauti kubwa mpaka abiria kwenye daladala wanashangaa. Jamii forums raha sana. Yaani hapo hujagonga demu, lakini unaogopa kufa? Kapumzike kwa amani
 
Habar za yeye kuwa ameadhirika umezipa wapi?acha kuishi kwa mazoea yuko powaa kabsa nakama amekuambia mwenyewe na ameaza kunywa dawaa haina shida kabsaa hata kma mlishirki tendo usiogope
 
Kwa vipimo vya sahivi ni ndani ya mwezi mmoja uwezekano wa kuona kama tayar ni asilimia 95%
 
Pole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV.

Nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
 
Pole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
Ndugu yangu Mungu atunusuru
 
Kipi hiko naambie kinapatikana wapi ili nipime roho yangu itulie

Ni vyote bioline ndio vinatumika sahivi na ndio mana ukipima shv unaandikiwa urudi baada ya mwezi mmoja na ndio utakuwa umetumia ivyo ni cha rangi nyeupe...kama mwezi mmoja umeshapita hapo jua kuwa hauna
 
Hiv dunia ya sasa kuna watu bdo wanaogopa ukimwi? ndo nakusikia wewee, kuna mtoto wa boss wangu alizaliwa na ngwengwe mwaka 1990, mpaka leo yupo ana duka lake, nyumba na kila siku anaendelea kugegeda
 
Screenshot_2018-04-16-20-51-30.jpg
 
Ni vyote bioline ndio vinatumika sahivi na ndio mana ukipima shv unaandikiwa urudi baada ya mwezi mmoja na ndio utakuwa umetumia ivyo ni cha rangi nyeupe...kama mwezi mmoja umeshapita hapo jua kuwa hauna
Sawa kaka nimekupata atleast naanz kupata matumaini
 
Pole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
But uko salama maana kirusi hakiwezi kukaa kwenye hewa zaidi ya dakika 3
 
Yaani nimecheka kwa sauti kubwa mpaka abiria kwenye daladala wanashangaa. Jamii forums raha sana. Yaani hapo hujagonga demu, lakini unaogopa kufa? Kapumzike kwa amani
Kinachokuchekesha Mkuu?
 
Habar za yeye kuwa ameadhirika umezipa wapi?acha kuishi kwa mazoea yuko powaa kabsa nakama amekuambia mwenyewe na ameaza kunywa dawaa haina shida kabsaa hata kma mlishirki tendo usiogope
Kwa kinywa chake ametamka na amenionyesha na vithibitisho
 
Hiv dunia ya sasa kuna watu bdo wanaogopa ukimwi? ndo nakusikia wewee, kuna mtoto wa boss wangu alizaliwa na ngwengwe mwaka 1990, mpaka leo yupo ana duka lake, nyumba na kila siku anaendelea kugegeda
Unazungumza hivyo kwa kuwa alijakufika
 
Ndugu yangu pole kwa misukosuko kama hii.
Kuna msemo unasema "ASIYELIJUA CHOZI AMTAZAME ALIYAE"

Mimi sitazungumzia chochote ya maisha nilitopitia ila pumzika kwa amani,wacha stress muombe Mungu kwa saana.

Yalinikuta makubwa mwenzako mwaka uliopita ila Mungu ni mkubwa sana alinijalia kustahamili Lakin nilivyokuwa ajuae ni yeye Muumba WA kila kitu asiyeshindwa ni jambo lolote.

Wote wanaobeza hayajawafika bali wanasikia story na kusoma maandiko yanayoandikwa ila usijali na ubezaji wao.
Wapo waliokupa ushauri mzuri ufuate.
Baki na amani Ndugu.
 
Hiv dunia ya sasa kuna watu bdo wanaogopa ukimwi? ndo nakusikia wewee, kuna mtoto wa boss wangu alizaliwa na ngwengwe mwaka 1990, mpaka leo yupo ana duka lake, nyumba na kila siku anaendelea kugegeda
Ukimwi ni hofu yko tu.
 
Back
Top Bottom