UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

mkuu wewe ume piigwa blow job una shtuka wenzako wamekula kama miezi zaidi ya 8 na mtu mwenye ngoma ila hajapata hata na walikuwa wanaenda kavu kavu. we kausha
 
Pole sana
Possibly uko safe Ila umetenda dhambi mrudie muumba wako na omba
maghufira sana

Allah anasamehe ila usiendelee na machafu tena
 
Pia kufa Usiogope ila iandae safari yako fanya tawba Kwa Allah na kama muislam anza kutenda mema daima
 
Sasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.

Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Mkuuuuu nimechkaaaaaaa snaaaaa mkuuuuu
Lkn kwelii asee
 
Ukishaona hivi mbona unasahau aisee.. Trust me
IMG-20180416-WA0007.jpg
 
Ndugu yangu pole kwa misukosuko kama hii.
Kuna msemo unasema "ASIYELIJUA CHOZI AMTAZAME ALIYAE"

Mimi sitazungumzia chochote ya maisha nilitopitia ila pumzika kwa amani,wacha stress muombe Mungu kwa saana.

Yalinikuta makubwa mwenzako mwaka uliopita ila Mungu ni mkubwa sana alinijalia kustahamili Lakin nilivyokuwa ajuae ni yeye Muumba WA kila kitu asiyeshindwa ni jambo lolote.

Wote wanaobeza hayajawafika bali wanasikia story na kusoma maandiko yanayoandikwa ila usijali na ubezaji wao.
Wapo waliokupa ushauri mzuri ufuate.
Baki na amani Ndugu.
Amin
 
Back
Top Bottom