sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
mkuu wewe ume piigwa blow job una shtuka wenzako wamekula kama miezi zaidi ya 8 na mtu mwenye ngoma ila hajapata hata na walikuwa wanaenda kavu kavu. we kausha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana jmnkSikuwa na michubuko ila nina hofu virusi haviwezi kupenya kwenye tundu ya mkojo
Mkuuuuu nimechkaaaaaaa snaaaaa mkuuuuuSasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.
Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
Sikuwa na michubuko ila nina hofu virusi haviwezi kupenya kwenye tundu ya mkojo
AminNdugu yangu pole kwa misukosuko kama hii.
Kuna msemo unasema "ASIYELIJUA CHOZI AMTAZAME ALIYAE"
Mimi sitazungumzia chochote ya maisha nilitopitia ila pumzika kwa amani,wacha stress muombe Mungu kwa saana.
Yalinikuta makubwa mwenzako mwaka uliopita ila Mungu ni mkubwa sana alinijalia kustahamili Lakin nilivyokuwa ajuae ni yeye Muumba WA kila kitu asiyeshindwa ni jambo lolote.
Wote wanaobeza hayajawafika bali wanasikia story na kusoma maandiko yanayoandikwa ila usijali na ubezaji wao.
Wapo waliokupa ushauri mzuri ufuate.
Baki na amani Ndugu.
Aseeemkuu wewe ume piigwa blow job una shtuka wenzako wamekula kama miezi zaidi ya 8 na mtu mwenye ngoma ila hajapata hata na walikuwa wanaenda kavu kavu. we kausha
Sawa Mkuu nimekuelewa na Mungu atanipokeaPia kufa Usiogope ila iandae safari yako fanya tawba Kwa Allah na kama muislam anza kutenda mema daima
Mkuu mi nimesoma shule ya kata walimu hamnawe chaliii punguza mteru shule ya wap uliyofundishwa urethra inapitisha ngoma
Yaani kama huyo ila ndo kaunguaUkishaona hivi mbona unasahau aisee.. Trust meView attachment 748127
Asante..hongera ya nini we jamaa?doh!
pole & hongera..
We cheka tu mkuu ila utulie yasikukuteMkuuuuu nimechkaaaaaaa snaaaaa mkuuuuu
Lkn kwelii asee
Sawa nitashukuru kama ni hivo ila nimekma yaan siku hizi hata mjomba anasimama kwa timingHapana jmnk
Sawa nitashukuru kama ni hivo ila nimekma yaan siku hizi hata mjomba anasimama kwa timingHapana jmnk
Mzee baba angaliaUmenikumbusha, nina zigo hilo na nilioanga kulipiga kavu! Anyway ngoja nione itakuaje
Kunyonywa mboo tuu ndio upate ukimwi?,mbona haimake senseWanasema nipo window period siwezi kuona so nisubiri miezi 3 theni nipime ili nipate uhakika