Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha marehemu asemwi kwa ubaya umesahau kanumba alipokufa watu walisahau kama alikuwa ana baka mtotokwenye mazishi unasiki marehemu alikuwa mtafutaji sana mwenye juhudi, kumbe wa mademu
Nambie unachokijua mkuuKunyonywa **** tuu ndio upate ukimwi?,mbona haimake sense
Sawa mzee kakaTulia mzee baba!!
Balaakazi ipo
kwa kuuepuka huo ugonjwaAsante..hongera ya nini we jamaa?
Bado sina hakika nasubiri miezi 3kwa kuuepuka huo ugonjwa
HIV haiambukizwi kirahisi namna hiyo, watu wanafanya sex na victims tena bila condoms na bado wanenda kupima wakuta hawajaambikizwa. We unaongelea oral sex, hii ni kitu watu wanafanya every now and then na hakuna wanachopataWanasema nipo window period siwezi kuona so nisubiri miezi 3 theni nipime ili nipate uhakika
Shukurani now nipo normal sio kama mwanzoHIV haiambukizwi kirahisi namna hiyo, watu wanafanya sex na victims tena bila condoms na bado wanenda kupima wakuta hawajaambikizwa. We unaongelea oral sex, hii ni kitu watu wanafanya every now and then na hakuna wanachopata
Ingekua transmission ni rahisi kiasi hicho basis zaidi ya nusu ya watu duanini wangekua na HIV
Just take a rest and breath some air
hahaaaPumzika kwa aman
hahaaaYani umenyonywa tu pumbavu unakuja na nyuzi, watu tushawala sana na wala hatuna wasi pia hatutakaa tupime hata mara moja.
Huu ujumbe utawapunguzia mawazo watu wengi sana Mkuu, kuna watu wanapita kimya kimya wanaogopa kufunguka. Hatari hizi mambo furahi kusimuliwa ila yasikukute utajuta kwa kihoro.HIV haiambukizwi kirahisi namna hiyo, watu wanafanya sex na victims tena bila condoms na bado wanenda kupima wakuta hawajaambikizwa. We unaongelea oral sex, hii ni kitu watu wanafanya every now and then na hakuna wanachopata
Ingekua transmission ni rahisi kiasi hicho basis zaidi ya nusu ya watu duanini wangekua na HIV
Just take a rest and breath some air
Mkuu umenena yaan ni zaid ya hatariHuu ujumbe utawapunguzia mawazo watu wengi sana Mkuu, kuna watu wanapita kimya kimya wanaogopa kufunguka. Hatari hizi mambo furahi kusimuliwa ila yasikukute utajuta kwa kihoro.
Watoto wa vijijini hawa wakishafika mjini.Sasa kama umepima huna ngoma unawengeka nini?
Hongera mkuu ! Tayari umeshakuwa balozi haijalishi upo positive au negative.Sawa kaka ila nikitka salama nitakuwa balozi wa ukimwi