UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

Pole sana najua unapitia wakat mgumu sana nakumbuka mm mwez wa 12 mwaka Jana nilidondokewa na wembe mkononi ukanikwangua kidogo damu ikatoka na huo wembe alikuwa anajinyolea kwapani msichana wetu wa kaz nikamuuliza akaniambia hakujikata kipindi ananyoa nikapotezea imepita kama wiki 2 namkuta anakunywa Dawa ARV.

Nakwambia niliogopa sana nilikuwa sili wala silali nikaenda kupima baada ya miez 2 ikawa negative nmeambiwa nirudi baada ya miez 3 ila naogopa hapa nilipo na stress sijielew nmejikatia tamaa kwakweli nikiumwa tu kidogo nahisi ukimwi niombeeni tu kwakweli kuna watu tunapitia majaribu mazito sana
Nenda kapime uko okay kahakiki tu kujiridhisha
 
Ajali kazini wew una uzoefu ndio maana unaogopa
 
2006.
Nilimkulaga mdada mmoja huko kibondo, kesho yake, tukawa tunapiga stori na wifi ake, akaniambi, binti ameungua. Kidogo nidate asee, hata nikikohoa nauhisi wenyewe tu.

2007.
Nikamkula mwingine, huyu tulikuwa nae kasulu, mwezi mmoja baadae shost wake akanambia binti ana ngoma.

Niliapa kutopima katika maisha yangu, maana wote nilikula bila kinga.
Miaka miwili baadae nilipokuja kupima nikakutwa niko fresh tu asee. Ila b4 niliishi kwa mateso makali asee
 
Wanasema nipo window period siwezi kuona so nisubiri miezi 3 theni nipime ili nipate uhakika
woga ukizidi unakuwa na msongo wa mawazo hatimaye utajisababshia UKIMWI kwahy relax toa hofu
 
Ni vyote bioline ndio vinatumika sahivi na ndio mana ukipima shv unaandikiwa urudi baada ya mwezi mmoja na ndio utakuwa umetumia ivyo ni cha rangi nyeupe...kama mwezi mmoja umeshapita hapo jua kuwa hauna

Kipimo hiki hu detect HIV from two to three weeks tangu infection
 
Back
Top Bottom