Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa nimekaa napata moja mbili, babu yenu nikabakia mdomo wazi, dunia inakimbia kweli, wajukuu wangu, vijana mna gundua vingi sana.