Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Unamchango gani juu ya vijana wengi wanaotumia vilainishi vya mafuta mbali mbali, japo Jana ile walikuwa wakisisifia sana parachute!, kwa umahiri na umaridadi, vijana mtakwisha, kihasara hasara.Homa ya Ini unaiacha wapi? Tutafute chanjo
Mbona hayo mafuta ya parachute recently yamepata promo sana? Kuna nini?Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa nimekaa napata moja mbili, babu yenu nikabakia mdomo wazi, dunia inakimbia kweli, wajukuu wangu, vijana mna gundua vingi sana. View attachment 2960301
Hayo uliyoyasikia meza ya jirani ni yepi?Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa nimekaa napata moja mbili, babu yenu nikabakia mdomo wazi, dunia inakimbia kweli, wajukuu wangu, vijana mna gundua vingi sana. View attachment 2960301
Mtaji no 1 ni Afya.Tutunze Afya zetu.Afya ndo utajiri....Afya nzuri is everything
Huyo hakufuata masharti watu naowajua wanafuata masharti wanaishi kama kawaida bila ya kusumbuliwa na chochoteWiki mbili zilizopita tumezika dada wa rafiki yangu,alichoka kutumia dawa akaamua kuacha.Ilikuwa ukienda kumcheki usipokuwa makini unaweza kumkalia kitandani aisee Dada alikwisha, ukimwi usikie Kwa jirani.