Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Jana niliopoa pisi niliifahamu kupitia rafiki yake, aisee baada ya kuipga mizinga ya pombe ikiabidi tuelekee geto.
Kufika geto ile nmejipima na yeye nkawa nmempima ikaonekana yuko positive akili iliruka.
ikabidi nipge picha kipimo, nivitupe chooni nilimwambia yuko safe na nkatafta namna ya kumtoa geto usku bahati nzuri aliondoka.
kosa nililifanya sikuchukua tahadhari wakati nampima,, nilishka damu kutumia mkono ambao nlijichoma wakatu najipima.
nmeamua nianze dozi ya 30 days mniombee